Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

SHUGHULI YA KUTOA ELIMU NA MATIBABU YA AFYA YA KINYWA NA MENO KWA WANANCHI WA KIJIJINI CHA MSOGA -BAGAMOYO

6 July, 2021 All day

Shughuli ya kutoa elimu na matibabu ya afya ya kinywa na meno kwa wananchi wa kijiji cha Msoga-Bagamoyo, july 2021 kwa kushirikiana na chama cha madaktari wa meno Tanzania (TDA) mgeni rasmi alikuwa rais wa awamu ya nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Details

Date:
6 July, 2021
Event Category:

Organizer

Smiles Dental Clinic
Phone
+255 (0) 677 051 745
Email
info@smilesdentalclinic.co.tz
Website
View Organizer Website

MNAZI MMOJA