Smiles Dental Clinic katika maonyesho ya Saba Saba 2023

Smiles Dental Clinic tupo katika maonyesho ya Saba Saba kwenye viwanja vya Saba  Saba jijini Dar es Salam banda namba 55. Karibu uweze kupata matibabu ya afya ya meno na kinywa.