MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE CCM (UWCCM)

UWCCM ulitualika wadau wa afya kwenda kutoa elimu na huduma ya uchunguzi kwa wana UWCCM na wananchi kwa ujumla waliojumuika siku hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja tarehe 01.02.2021 bure.

maonesho ya sabasaba mwaka 2022

SABASABA

Tulitoa elimu ya jinsi ya kutunza afya ya kinywa bure lakini pia uchunguzi wa kinywa kwa watu ulifanyika bure.

AL-IRSHAD SCHOOL VISIT

SMILES DENTAL CLINIC

The kids from Al irshad school visited the clinic and learn how to take care their oral hygiene, dentist career and also they received free dental checkup with colgate package giveaway.