MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE CCM (UWCCM)

UWCCM ulitualika wadau wa afya kwenda kutoa elimu na huduma ya uchunguzi kwa wana UWCCM na wananchi kwa ujumla waliojumuika siku hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja tarehe 01.02.2021 bure.