Smiles Dental Clinic ilitoa elimu na kufanya checkup ya Afya ya Kinywa na meno bure katika viwanja vya mnazi mmoja.