Shughuli ya kutoa elimu na matibabu ya afya ya kinywa na meno kwa wananchi wa kijiji cha Msoga-Bagamoyo, july 2021 kwa kushirikiana na chama cha madaktari wa meno Tanzania (TDA) mgeni rasmi alikuwa rais wa awamu ya nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.