UWCCM ulitualika wadau wa afya kwenda kutoa elimu na huduma ya uchunguzi kwa wana UWCCM na wananchi kwa ujumla waliojumuika siku hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja tarehe 01.02.2021 bure.